Ni blog inayokupa nafasi ya kuyatambua maisha halisi ya mwanamke pamoja na malezi ya mtoto, ikiwa ni pamoja na kutambua changamoto mbalimbali katika safari ya kuyafikia malengo yao.
Total Pageviews
Monday, April 14, 2014
MAMA SALMA KIKWETE AKIFUNGUA RASMI MAONYESHO YA WANAWAKE WAJASILIAMALI
Mama Salma kikwete akiangalia kazi nzuri iliofanywa na kina mama wajasiliamali .Ukisema wanawake wanaweza wakiwezeshwa si jui utakuwa unamaanisha nini wanawake wakiamua wanaweza kama inavyoona mwenyewe katika maonyesho haya
No comments:
Post a Comment